KAULI MBIU SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 16, JUNI 2021

Wadau naomba mpokee Kauli Mbiu ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16, Juni kwa mwaka 2021 inasema : “TUTEKELEZE AJENDA 2040:KWA AFRIKA INAYOLINDA HAKI ZA MTOTO“